Wadau leo nimeona tujadili hili suala ambalo watu wengi sana mitaani wamekuwa wakiamini hivyo kuwa wanawake wenye kipato kizuri ama wale walio na elimu nzuri, hasa wenye digrii ama zaidi ni vigumu sana kudumu katika ndoa ama mahusiano.
Na katika mahusiano yao huwa ni yenye migogoro mingi na mivutano sana kwa wenzi wao (Boyfriends ama Waumezao). Humu wapo kidada wasomi wengi tu ambao wanaweza ”ku-share” uzoefu wao ama kutoa mtazamo wao katika hili. Kina Kaka pia mnaweza kutoa hoja na mitazamo yenu kuhusu hili kwani mahusiano yanahusu pande zote mbili
Ningependa watu tuchangie tukizingatia hasa maswali yafuatayo…
Je, unamaani kuwa huo mtazamo uliojengeka katika jamii una ukweli wowote?
Na kama ni kweli unafikiri nini hasa ndio chanzo?
Na kama unafikiri hii kitu haina ukweli wowote unafikiri ni kwanini basi kuna watu wanaona hivyo?
Mwisho toa ushauri wako kwa kidada wali kwenye kundi hilo ama kina Kaka walio nao katika mahusiano kuhakikisha mambo yanakwenda kama wengine tu.
NB:
Kumbuka kuwa simaanishi wasichana wote walio katika kundi hilo bali ni walio wengi wao.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







