MAPENZI:NAHITAJI MWANAUME WA KITANZANIA WA KUNIPENDA…SOMA HAPA FURSA HII MWANAUME

10 years ago133 Views

Mambo! Mimi ni binti,umri wangu ni miaka Ishirini na tano,mrefu,mweusi na mwembamba ni mkristo pia,elimu yangu ni chuo kikuu na ni mfanyakazi. Lengo langu hapa natafuta mwanaume,wa kuanza naye urafiki,mapenzi na mengine tukielewana.Awe mrefu,mwembamba,mwenye afya bora,mwonekano mzuri wa sura na mtanashati,asiwe mnywaji wa kilevi kupitiliza wala asivute sigara! Awe ana chanzo cha mapato cha kueleweka,matured,broadminded na alietayari kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi na mwanamke,sexually active kwa njia ya kawaida ya kimaumbile!Elimu chuo kikuu…karibuni,alie tayari awache Mawasiliano yake! Sitaki mzaha,kebehi wala nyodo…!kama unajua hayakuhusu usinivuruge!
I Used to live in USA now Am Back
Note:I only Need Tanzanian Man Not Otherwise…
Call Me Sandra Kileo

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.