
Leo imedropishwa hitsong kutoka katika lebo ya WCB, Hit ambayo imevikutanisha vichwa viwili kutoka katika Lebo hiyo.
Ni Raymond (Rayvanny) na Diamond Platnumz ndio ambao wame-take over leo kwa ngoma yao ya “Salome”
Kama ni mkongwe kidogo na ulikuwa msikilizaji na mpenzi wa muziki kwa miaka ya 2000 naamini kabisa utakuwa umeifananisha ngoma hii ya Salome na ngoma ya Maria Salome ya mwanamama Saida Karoli.
Japo sio kwa mashairi, ila melody na title ya nyimbo ni wazi kabisa kuwa ngoma ya Maria Salome imehusika humo ndani.
Kama ulikuwa unataka kuvitumia vigezo hivyo kama diss basi jua kabisa umefeli kwasababu WCB sio watu wa mchezo mchezo.
Unachotakiwa kukijua ni kwamba wakali hao waliutafuta uongozi wa Saida Karoli na kuuomba vibali na baraka zote juu ya ngoma hiyo, na Sallam S.K ambaye ni meneja wa Diamond Platnumz ametuthibitishia hilo baada ya kupost katika ukurasa wake wa instagram picha ambayo iliwaonyesha Diamond na Raymondwakiwa kwa Mzee Felician Mutakyawa ambaye ni mmoja kati ya viongozi wa mwanamama Saida karoli.
Kama hujapata bahati ya kuisikia ngoma hiyo mpya ya Diamond na Rayvanny sikiliza hapa
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





