
Rais John Pombe Magufuli Aprili 29, 2017 aliwasili Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu.Alipofika Eneo la Bomang’ombe wilayani Hai,Wananchi walifunga Barabara Wakitaka Awasalimie ambapo wananchi walibeba majani aina ya Masale na kisha alisimama na Kuwaambia ”Ninajua maana ya haya Majani(Masale)..Na mimi nimewasamehe,najua nanyi mmenisamehe..Pia baada ya Mwendo Mdogo wananchi wa Eneo la Kwasadala walizuia msafara wa Rais Magufuli ambapo napo alisimama na kuwasalimia amabapo alitoa agizo la kufuta kodi zote za mazauzo ya ndizi au biashara ndogo ndogo na kusema kuanzia sasa wanaotakiwa kulipa ushuru ni wafanyabiashara wakubwa tu katika Masoko mkoani Humo.
Sambamba na ziara hiyo, Rais Magufuli kwa Mara ya Kwanza Aliambatana na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa,Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Mawaziri na Watendaji wakuu wa Serikali ikiwa wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambapo Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi leo .
Sambamba na ziara hiyo, Rais Magufuli kwa Mara ya Kwanza Aliambatana na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa,Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Mawaziri na Watendaji wakuu wa Serikali ikiwa wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambapo Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi leo .



Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






