Dudu Baya ataja mastaa wawili Bongo anaoweza kuwaoa

7 years ago122 Views


Msanii wa Muziki Bongo, Dudu Baya ameweka wazi mastaa wakike ambao anaweza kuwaoa. 

Dudu Baya amesema kuwa msichana anayeweza kumuoa na anampenda ni Gigy Money na Lady Jaydee. Japo kuwa ameeleza kuwa Gigy anatabia ambazo bado haweki kumfanya awe mke labda aziache. 

“Mwanamke ninayempenda ni Gigy Money, Gigy huwa nampenda ila tabia zake ambapo bado siwezi kumfanya kuwa mke yaani mpaka aache zile tabia, tulishazungumza ila hawezi kuacha zile tabia, Gigy mnaweza mkawa sehemu akaanza kucheza akiwa uchi kwahiyo kama mama watoto siwezi 

“Lakini tukija mabinti wengine wakike kwenye hustle anajiamini ni Lady Jaydee, kwasababu ni mwanamke mwenye akili timamu kwasababu mimi nampenda mwanamke mbishi kwasababu mimi ni Konki,” aliongeza Dudu. 

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2TSueFo
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.