Snura afunguka kuhusu ‘bifu’ lake na Shilole

7 years ago97 Views

Snura afunguka kuhusu 'bifu' lake na Shilole

Msanii wa muziki wa Bongo fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amefunguka kuwa uhusiano wake na msanii mwenzake Shilole haujawahi kubadilika tangu mwanzo na hawakuwahi kuwa na tofauti kama wengi wanavyodai.

Snura amefunguka hayo wakati akizungumza na www.eatv.tv, ambapo amesema kuwa Shilole na yeye walikuwa na mpango wa kufanya kazi wakati ule ili kuonesha kuwa hawakuwa na tofauti lakini muda ulikosekana.

“Uhusiano wangu na Shilole haujawahi badilika, upo vilevile tangu tulipozaliwa na umesimama palepale kama picha la ‘bisimini'”, amesema Snura.

Akizungumzia mafanikio yake katika sanaa, Snura amesema kuwa anajivunia vitu vingi ambavyo amevipata kupitia muziki lakini hapendi kuonesha.

“Nina vitu vingi vya kujivunia lakini siwezi kunadi mali zangu mtandaoni, mimi huwa na nadi kazi tu”, amesema Snura.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2CruUuB
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.