Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali nchini CAG, Profes Mussa Assad ametetea kauli yake ya kuwa Bunge ni dhaifu na kusema neno hilo amekuwa akilitumia mara kwa mara kwenye ripoti zake.
Profesa Assad ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari ikiwa ni saa chache baada ya Spika Ndugai kusema ni lazima kiongozi huyo afike kwenye kikao cha kamati ya maadili ili kujibu madai ya kauli yake.
Assad amesema, ” mpaka hivi sasa ninaamini nina mahusiano yenye tija kati yangu na Bunge zima na lazima uhusiano huu tuuenzi, na majibu yangu ya kuwa dhaifu ni ya kawaida na hayakuwa na nia ya kudhalilisha Bunge.”
“Maneno kama udhaifu, au mapungufu ni lugha za kawaida sana kwa wakaguzi katika maoni ya utendaji na mifumo kwenye taasisi mbalimbali ndiyo maana kwenye ripoti zangu nimelitumia mara kwa mara”, ameongeza CAG.
Aidha Kiongozi huyo ameeleza kuwa Januari 21 atafika mbele ya kamati ya maadili ya Bunge ili kueleza madai yanayomkabili kama barua alivyoipokea januari 15 mwaka huu.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2RRQB0h
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







