Nilipita club moja nikaopoa changudoa moja ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kimoja hapa mjini. Kabla sijapiga mambo alinidai nimpe chake kabisa nikampa tukaenda zetu kuburudika.
Sasa kwa vile ni toto limeumbika balaa kama mnavyo muona Hapo Juu kwenye picha nikachukua namba ili nilitafune tena siku nyingine na yeye akaomba yangu nikampa.
Sasa nashangaa baada ya hiyo siku ananitumia kibao za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati anajua madhingira tuliyokutana na jinsi alivyojiweka kimaliya kwa kuniaomba hela kwanza kabla hajania mchezo , mie najua uhusiano wetu ni wa nipe nikupe.
Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..////ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika madhingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia…
Nifanyaje wadau ? Nimtose ama?
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2FHe91x
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







