Baba mzazi wa Diamond Platinumz ameripotiwa kuwa hoi kitandani kutokana na ugoinjwa wa miguu unaomsumbua kwa sasa huku akiwa anaripotiwa kuwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani mpaka sasa
Hata hivyo inasemekana kuwa pamoja na kwamba baba huyo amekuwa mgonjwa lakini mtoto wake Diamond Platinumz ameshindwa kwenda kumsaidia hata kwa pesa za matibabu baba yake mzazi.
Baba huyo mzazi amekuwa akiumwa lakini alishawahi kufanya juu chini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mtoto wake huyo kwa kiume ili kuwa na mahusiano mazuri na mtoto huyo lakini swala hilo linaonekana kushindikana
Picha inayosambaa ikionyesha hali ya miguu ya baba mzazi wa Diamond
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2V83fqf
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








