Waziri wa JK Afunga Ndoa na Kabinti Kaduchu

7 years ago78 Views

Waziri wa JK Afunga Ndoa na Kabinti Kaduchu

MBUNGE wa zamani wa Urambo, Profesa Juma Kapuya (73),  amefunga ndoa na binti ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.

Picha na video zilizosambaa mitandaoni zinamwonyesha Prof. Kapuya ambaye ni mwanasiasa mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akifunga ndoa na binti aitwaye Mwajuma Mwiniko wilayani Urambo, mkoani Tabora,

Kapuya aliwahi kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kuanzia mwaka 1997 hadi 2005 na baadaye akateuliwa na Rais wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Ulinzi (mwaka 2006) na kisha kuwa Waziri wa Kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo nafasi aliyoteuliwa mwaka 2008.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2EgMByW
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.