MBAO FC ya Mwanza, imesema balaa la kufungwa ambalo Yanga imekumbana nalo juzi Jumamosi kutoka kwa Simba, ndilo itakalokutana nalo Jumatano kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Yanga itapambana na Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara huku ikiwa imetoka kuchezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba.
Msemaji wa Mbao FC, Crisant Malinzi, ameliambia Championi Jumatatu kuwa: “Tunaendelea na maandalizi yetu kwa ajili ya mechi hiyo, na lengo letu ni kuhakikisha tunaibuka na ushindi.
“Kwa hiyo Yanga waje waki jua kabisa kuwa hakuna watakachoambulia katika mechi hii kwani mbinu zao na mipango yao yote kocha wetu, Allu Bushiri anayo na anajua jinsi ya kuwazuia,” alisema Malinzi. Mbao FC wapo nafasi ya saba wakiwa na pointi 33 wakati Yanga wanaongoza Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 58
from UDAKU SPECIAL BLOG https://www.udakuspecially.com/2019/02/mbao-yajipanga-kuivurugia-tena-yanga.html
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







