Joseph Kusaga akutana na Didier Drogba, amtangazia fursa na kuafikiana mambo Makubwa

7 years ago73 Views

Joseph Kusaga akutana na Didier Drogba, amtangazia fursa na kuafikiana mambo makubwa

Mkurugenzi wa Kampuni ya Clouds Media Groups Ltd, Joseph Kusaga jana usiku amekutana na mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Didier Drogba nchini Marekani kwenye mchezo wa kikapu wa NBA ALL STARS 2019.

Joseph Kusaga na Didier Drogba
Kusaga ameeleza kuwa, baada ya kukutana naye wameongea masuala mengi ikiwemo uwekezaji kwenye michezo, ambapo Drogba ameridhia kuja Tanzania na kuwa sehemu ya uwekezaji.

“Nimekutana na @didierdrogba – Didier Drogba. Drogba anaamini uwekezaji kupitia michezo unatakiwa na utasaidia sio kwenye kuwapa vijana nafasi bali pia kukuza uchumi wa mataifa husika. Akiwa tayari kuwa sehemu ya uwekezaji wa waliokuwa tayari, Nimemwambia Tanzania tutakuwa wa kwanza kumwita na ameridhia.,“ameandika Joseph kusaga kwenye ukurasa wake wa Instagram.

from UDAKU SPECIAL BLOG https://www.udakuspecially.com/2019/02/joseph-kusaga-akutana-na-didier-drogba.html
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.