Wema Sepetu afunguka na kuwashukuru Bodi ya Filamu baada ya kumuachia huru kuendelea na kazi zake za sanaa (+ Video)

7 years ago72 Views

Bodi ya Filamu hapa nchini Imetangaza rasmi kumfungulia Star wa Filamu hapa nchini Wema Sepetu Sehemu ya adhabu ambayo walimpatia kutokana na video yake chafu Kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha yupo kimahaba na mtu aliyetajwa yuko nae katika mahusiano.

Katika mkutano na waandishi wa Habari Bodi Imeeleza Kuwa haijamfungulia Wema Kwa kumuonea Huruma Ila wamefanya Hivyo Kwa Sababu ametekeleza Aslimia 75 ya Mambo waliyomuagiza ayafanye. Kwa upande wake Wema amesema kuwa hatorudia tena kosa kwani ilikua mara ya Kwanza Kufungiwa na Bodi huku akionesha Furaha kubwa ya Kupata msamaha Huo.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2tqu4Kt
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.