Wasanii Washauriwa Kuandaa Tamasha kwa Ajili ya Ruge

7 years ago68 Views

Wasanii Washauriwa Kuandaa Tamasha kwa Ajili ya Ruge

Wasanii wakubwa kwa wadogo nchini tanzania washauriwa na moja ya mashabiki katika mitandao ya kijamii kufanya tamasha kwa ajili ya kuachangisha pesa kwa ajilinya matibabu ya Ruge mutahaba ambae yuko hoi kitandani .

Kauli hiyo imekuja leo baada ya familia ya Ruge kutangaza uwa kwa sasa inakuwa ngumu sana hasa wa upande wafamilia kwa sababu pesa ya matibabu ya mgoinjwa kwa siku ni zaidi ya milion 5 huku wakiwa tayari waliashasaidia na baadhi ya viongzoi aiwepo mh rais.

Familia ya Ruge  inaomba kuwa kama kuna yoyote anaweza uchangia kwa namna yoyote basi aweze kuchangia ili kuendelea kupgania maisha ya mpendwa wao.

Hata hivyo kutokana na mchango mkubwa wa Ruge atika tasnia hii ya muzki, wasanii wameombwa kuandaa tamasha kwa ajili yake litakalolipisha mashabiki pesa ambayo iitaayopatikana itasaidia kwa ajili ya matibabu ya Bosi wao.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2SJJeJU
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.