Baada Ya Kudai Kuwa Kwenye Mahusiano na Godzilla, Bella Adaiwa Kuvishwa Pete na Mwanaume Mwingine
Msanii wa Bongo movie Isabella Mpanda alitengeneza headlines wiki iliyopita Baada ya kudai kuwa kwenye mahusiano na Aliyekuwa Msanii wa Bongo fleva Marehemu Godzilla.
Mbele ya Media mbali mbali Bella alilia machozi na kusema kuwa Mpaka kipindi Godzilla anafariki dunia yeye Ndiye alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo.
Gazeti la Risasi Jumamosi, lilizungumza na rafiki wa karibu na Bella ambaye alionesha kushtushwa na kitendo cha Bella kujitambulisha kwamba alikuwa na uhusiano na marehemu wakati miezi michache iliyopita alichumbiwa na mwanaume mwingine aitwaye John aliyejaliwa kuzaa naye mtoto mmoja.
Kwenye mahojiano na Gazeti hilo Bella alidai kuwa alishaachana na mwanaume aliyemchumbia takriban miezi mitano iliyopita na baada ya kuachana naye, aliamua kurejea kwa Godzilla ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake kabla ya kuchumbiwa.
Niliachana na baba mtoto wangu nikaamua kurudi kwa mpenzi wangu wa siku nyingi ambaye ni Godzilla hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwa sasa, naomba uniache maana nipo kwenye majonzi”.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GyfLvZ
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







