Hollystar Aanika Maovu Ya Sista Fey Yaliyosababisha Ndoa Kuvunjika

7 years ago76 Views

Msanii wa Bongo fleva Hollystar amefunguka na kuweka wazi sababu zilizopelekea ndoa yake na msanii mwenzake wa Bongo fleva Sista Fey kuvunjika.

Ndoa iliyodumu kwa zaidi ya miezi mitano ambayo ilikuwa na vitimbwi vingi, kati ya wasanii wawili imejulikana baada ya kila mmoja kumtupia lawama mwenzake za kusababisha kuachana kwao.

Kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao wa Bongo 5, aliyekuwa na mume wake na Sister Fey ambaye ni Holystar amesema kuwa Sister Fey alianza kubadilika kwanza na yeye hataki kupelekeshwa:

Kwa madai yake ni kwamba Mimba yake imeharibika kwa sababu nilikuwa nampiga Lakini hebu fikiria mwanamke mjamzito hakai nyumbani akatulia na Mume Wake kutwa kwenda kujenga nyumba na kufanya kazi ngumu halafu mwanamke mjamzito unaenda kulewa pombe usiku unategemea hiyo mimba itakaa kweli?”.

Hollystar amedai kuwa kwa Hivi sasa amemuacha mke Wake huyo na yupo bize na kutoboa kimuziki zaidi.

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2Nf6qtm
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.