
“Kabla sijafungua redio nilimwambia Ruge nataka kufungua redio akaniambia kwa sababu unaweza vitu vingi fungua, nilitaka kumfanyia surprise na nilivyofungua nikamwambia tayari nimefungua redio na nataka kufanya kazi na wewe yaani (Nimuajiri) akacheka sana kisha akaniambia acha mambo yako” MAJIZO Mkurugenzi wa TVE na Efm ndani ya kipindi cha Clouds360
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2T2FoLb
via






