RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga

2 years ago134 Views

 

RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga licha ya kutolewa na Mamelodi Sundowns katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya ligi ya Mabingwa wa Shirikisho la Soka Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Katika mchezo huo uliomalizika leo Ijumaa usiku, Yanga imeondolewa kwa mikwaju ya penalti 3-2 baada ya dakika zote 90 zilizopigwa katika uwanja wa Loftus Versfeld jijini Pretoria nchini Afrika Kusini timu za Mamelodi Sundowns na Yanga kutoka sare tasa.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.