Derby ya Kariakoo Simba na Yanga Itapigwa Tarehe Hii Mwezi Huu

Admin Updates1 year ago8 Views

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza tarehe ya mchezo wa Young Africans dhidi ya Simba, maarufu kama “Kariakoo Derby”. Mchezo huo, ambao awali haukupangiwa tarehe, utachezwa Aprili 20, 2024, saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mechi ya mzunguko wa kwanza Simba SC alipigwa bao 5-1 dhidi ya watani zao Yanga SC. 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...