BREAKING NEWSS..Waziri Jerry Silaa Afumwa Live kwenye Viwanja Hivi na Familia yake..

Admin Updates1 year ago5 Views

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Jerry William Silaa akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Familia yake (Mke wake Bi Mariam Bakari Silaa na Mwanaye Simba Jerry Silaa) tayari kuingia Bungeni wakati wa uwasilishaji Bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2024/2025 Iliyowasilishwa lei Bungeni Jijini Dodoma ambapo picha ya Mhe.Silaa na familia ake imekuwa kivutio kikubwa kweney vyombo mbalimbali vya habari leo nchini Tanzania.
Masama Blog inamtakia Kila la Heri Mhe.Silaa katika uwasilisho wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.