Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na Kampuni za Kimataifa za Nishati, Shell na Equinor imetoa elimu ya ushiriki wa wananchi katika mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong’o iliyopo Kata ya Mbanja, Manispaa ya Lindi.
Shule hiyo, ambayo ujenzi wake utaanza hivi karibuni inatafsiri kwa vitendo jitihada za TPDC kwa kushirikiana na Wawekezaji wa mradi wa kusindika gesi asilia (LNG), kuimarisha huduma za kijamii na kuchangia maendeleo ya wananchi wanaozungukwa na mradi wa LNG ambao unatarajia kutekelezwa Mkoani Lindi.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








