Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;
“Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024.
“Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Pacome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka kwa Mabingwa wa Africa, Al Ahly.
“Kumbuka Pacome Zouzoua Peodoh amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Young Afrika SC hivyo amewaambia ni bora Kumuuza sasa kuepusha hatari ya Kuondoka bure msimu ujao kwasababu hana mpango wa Kuongeza Mkataba mpya.
Mchambuzi Dominick Salamba anajibu;
“Pacome is staying
Klabu alizozichomolea mpaka sasa:
Azam FC
FAR Rabat
Kaizer Chiefs.
Mpaka sasa Zidane wa Africa ‘Paccome ZouZoua’ amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba ulioboreshwa vipengele vya maslahi binafsi ndani ya Yanga SC.
Mkataba wa miaka miwili – Uko mezani.
Mshahara ulioboreshwa – Uko mezani.
Aidha mchezaji huyo ameueleza uongozi kuwa anafurahia mazingira yake ya kazi na utulivu ulioko nchini.
Sio tu kuongeza mkataba, anaweza hata kununua kiwanja na kuanza ujenzi akiwa Bongo.
Mnasemaje hapa?”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







