Jinamizi la muziki wa Ngoma Africa band limeamua kuwaganda na kuwanyima usingizi washabiki wa muziki barani ulaya !
Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens au
“watoto wa mbwa” ni majina ya utani walibatizwa na washabiki wao,
mzimu huo wa muziki Ngoma Africa band inayoongozwa na kiongozi
wake Ebrahim Makunja almaarufu Kamanda Ras Makunja mkuu wa viumbe
wa ajabu ,kikosi hiko kitatingisha maonyesho makubwa ya muziki kule ughaibuni baadhi tu ya maonyesho hayo ni kama yafatanyo na yote yatakuwa siku za jumamosi
03 August 2018 Inter.Afrika Festival Tuebingen,Germany
10 August 2018 Rebstock Park,Frankfurt ,Germany
bendi hiyo inayodumu katika medani kwa miaka 24 sasa ndio bendi pekee ya kiafrika kufanikiwa kudumu kwa muda mrefu na kuwanasa maefu ya wwashabiki kila kona duniani. “Viumbe wa ajabu” Ngoma Africa Band sasa wanatamba na CD yao mpya “Awamu ya Tano Uwanjani” ambayo ipo katika redio mbali mbali hapa nchini.
usikose kuwasikiliza at www.reverbnation.com/ ngomaafricaband
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2XQe19x
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33
















