Fainali za Taifa ya Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2019 chini ya uongozi mpya wa Kampuni ya The Look yatafanyika Agosti 23 2019 katika Ukumbi wa LAPF uliopo Makumbusho, maarufu kama New Millennium Tower.
Fainali hizo zitafanyika baada ya kukamilika kwa mashindano ngazi ya Mikoa na Kanda ambayo bado yanaendelea kwa hivi sasa.
Mashindano hayo ya Mikoa na Kanda yamekuwa na msisimko sana kwa mwaka huu hasa baada ya kuongezeka kwa mikoa ya Songwe, Simiyu,Kagera ,Tanga na Shinyanga ambayo haikuwepo kwa mwaka jana.
Mara baada ya kukamilika kwa mashindano hayo ya mikoa na Kanda, washiriki wote wataanza kambi ya Taifa mnamo Agosti kwa takriban wiki 3 tayari kwa fainali hizo zitakazofanyika tarehe 23 Agosti 2019.
Ikumbukwe kwamba mrembo atakae shinda taji la Miss Tanzania 2019 atawakilisha Nchi yetu katika mashindano ya urembo ya Dunia ambayo mwaka huu yatafanyika London Uingereza tarehe 14 Disemba 2019. Aidha kampuni ya The Look inapenda kutoa hamsa kwa watanzania kuudhuria mashindano ya Dunia ili kuongeza motisha kwa muwakilishi wetu. Wale wote watakao penda kuudhuria mashindano ya Dunia wawasiliane na uongozi wa The Look kwa taarifa zaidi.
Mwandaaji wa Miss Tanzania Basila Mwanukuzi na Nelly Kazikazi Miss Tanzania no 2 -2018. wakionesha ngao Crown atakayovalishwa mshindi wa shindano la Miss Tanzania wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam wakati walipotangaza tarehe ya kufanyika kwa fainali za shindano hilo leo jijini Dar es salaam.
Nelly Kazikazi Miss Tanzania namba mbili -2018 akizungumza katika mkutano huo huku muandaaji wa shindano la Miss Tanzania Basila Mwanukuzi akisikiliza.
Mwandaaji wa Miss Tanzania Basila Mwanukuzi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mwananyamala wakati alipotangaza tarehe ya kufanyika kwa fainali za shindano hilo leo jijini Dar es salaam kulia ni Nelly Kazikazi Miss Tanzania no 2 -2018.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2XAWva7
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









