Na Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuhakikisha inamaliza tatizo la maji nchini, Serikali imedhamiria kutumia Shilingi Bilioni 1.2 katika Mji wa Kibondo mkoani Kigoma kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji wa Mabamba-Mkarazi na Kitahana utakaotoa huduma ya maji ya Uhakika kwa wananchi wa maeneo hayo.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kitahama, Naibu Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso amesema Fedha hizo zimetolewa ili kutimiza ahadi ya Mhe Rais Dk John Magufuli ya kuwapatia wakazi wa Kibondo huduma ya maji.
” Kibondo ni miongoni mwa miji yenye uhaba wa Maji na kwa kutambua hilo tumetoa Bilioni 1.2 kwa mradi wa Mabamba-Mkarazi na tutatoa Bilioni 1.1 kwa ajili ya ujenzi wa mradi mwingine wa maji wa wakazi wa Kibondo.
” Dhamira ya Rais Magufuli ni kumtua Mama ndoo kichwa ni na kama Wizara tunatekeleza maagizo hayo na nimejionea tayari mradi umeanza kutoa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi, kazi iliyobaki ni mkandarasi kumaliza ujenzi wa Vilula vilivyobaki,” amesema Mhe Aweso.
Awali Mhe Aweso ameto matumaini kwa wananchi wa Mji wa Mwandiga uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kuwa ifikapo mwezi August, Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 za kuanzia kazi ya ujenzi wa miundombinu itakayopeleka huduma ya Maji kwa wananchi kutoka kwenye mradi wa Maji Kigoma Mjini.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso akiwa katika katika kijiji cha Kitahama,Kibondo mkoani Kigoma kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama kupitia miradi mbalimbali inayojengwa mkoani humo
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2jGosdT
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








