Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwakaribisha Viongozi wa Dini kwa ajili ya Kongamano la kujadili namna Viongozi hao wanavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya Ugojwa wa Kifua Kikuu (TB) katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo pia lilihudhuriwa na Wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Ugojwa wa Kifua Kikuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mtadao huo Mhe. Oscar Mkasa.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Dini wakati wa Kongamano la kujadili namna Viongozi hao wanavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya Ugojwa wa Kifua Kikuu (TB) katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Ugojwa wa Kifua Kikuu, Mhe. Oscar Mkasa akizungumza wakati wa Kongamano hilo lililowahusiha Viongozi wa Kidini ili kujadili namna wanavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya Ugojwa wa Kifua Kikuu (TB).
Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti Ugojwa wa Kifua Kikuu na Ukoma, Bw. Dues Kamara akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la kujadili namna Viongozi wa Kidini wanavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya Ugojwa wa Kifua Kikuu (TB) katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Mwekahazina wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Ugojwa wa Kifua Kikuu, Mhe. Kimirembe Lwota akizungumza wakati wa Kongamano hilo lililowahusiha Viongozi wa Kidini ili kujadili namna wanavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya Ugojwa wa Kifua Kikuu (TB).
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, (katikati ya waliokaa) katika picha ya pamoja na Viongozi wa Dini, Wabunge wa Mtandao kupambana na TB na wadau katika mapambano dhidi ya TB wakati wa Kongamano la kujadili namna Viongozi wa Dini wanavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya Ugojwa wa Kifua Kikuu (TB) lilofanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia waliokaa ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Ugojwa wa Kifua Kikuu, Mhe. Oscar Mkasa, Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum na Makamu wa Rais wa Baraza la Maskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Flavian Kassala.PICHA NA BUNGE
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2YUJOTW
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












