Kazi ya ujenzi wa barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 inayojengwa kwa zege ikiendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Itoni-Ludewa-Manda km 211.4.
Mhandisi mshauri wa ujenzi wa barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 ambayo ni sehemu ya barabara ya Itoni-Ludewa-Manda km 211.4 Moon Dong Ryeol akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa akisambaza zege alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 wilayani Ludewa mkoani Njombe.
Muonekano wa barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 inayojengwa kwa zege ambayo ni sehemu ya barabara ya Itoni-Ludewa-Manda km 211.4 mkoani Njombe.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa pamoja na wataalam wake wakifurahia kupita juu ya blanketi lililofunika barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 inayojengwa kwa zege katika kijiji cha Mselesele Wilayani Ludewa.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa akikagua daraja la Mkenda katika mto Ruvuma, daraja hilo linaunganisha nchi za Tanzania na Msumbiji na linatarajiwa kujengwa sambamba na barabara ya Lukuyufusi-Mkenda km 124, kulia ni mkuu wa Wilaya ya Songea Bw, Porleto Mgema na katikati ni Meneja wa Wakala wa barabara (TANROADS), mkoa wa Ruvuma Eng. Razak Alinanuswe.
Muonekano wa daraja la Mkenda mkoani Ruvuma daraja hilo linaunganisha nchi za Tanzania na Msumbiji kupitia mto Ruvuma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), mhe. Elius John Kwandikwa akitoa maelekezo kwa mhandisi mshauri wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Songea Eng, Deo Mugishangwe (kulia) na mkuu wa Wilaya ya Songea Bw, Porleto Mgema (kushoto), alipokagua ukarabati wa uwanja huo.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2KeXrsn
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







