Mwanamke ambaye anayefanya kazi ya ubinadamu inchini ‘Nigeria katika Mfuko wa ubinadamu, Adamawa State amaye anatoa huduma kwa mama mjamzizito nchini Nigeria.
Na Mwandishi wetu
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya ubinadunia ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Agosti 19, ni siku ambayo walimwengu hukusanyika katika maeneo mbalimbali kuadhimisha na kuwapongeza watu wote waliojitolea nafsi zao kuokoa wanadamu wenzao na kufanya jitihada za kuifanya dunia hii kuwa mahala pa amani na usalama zaidi pa kuishi.
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya ubinadunia ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Agosti 19, ni siku ambayo walimwengu hukusanyika katika maeneo mbalimbali kuadhimisha na kuwapongeza watu wote waliojitolea nafsi zao kuokoa wanadamu wenzao na kufanya jitihada za kuifanya dunia hii kuwa mahala pa amani na usalama zaidi pa kuishi.
Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa, António Guterres amesema kuwa
“Tusaidie raia walio patwa na majanga au shida (crisis) hasa mlipuko wa magonjwa kwa binadamu hasa wanawake wakipewe kipaumbele wananwake ili kuwapa msaada wa kibinadamu kwa kujali utu kwanza”.
Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Guterres amesema kuwa watu wanaofanya kazi za kijamii kwaajili ya binadamu waliopatwa na majanga hasa watu waliojeruhiwa katika mapigano ya vita nchini Afghanistan na watu waliopata majanga ya ukosefu wa chakula, hasa nchi za Afrika ya kati, Sudani Kusini, Syria, na Yemen zenye balaa la njaa wanahitaji msaada wa kibinadamu.

Hata hivyo wanawake duniani kote wanatakiwa kupongezwa kwani shughuli wanazozifanya zinatoa msaada wa kibinadamu.
Amesema wanawake Wanawake wanatakiwa kusheherekea siku ya ubinadamu duniani kwa kuwa ndio wanaojitolea maisha yao katika kuokoa maisha ya watu wengine duniani kote.
Aidha watu wote wanatakiwa kuokoa maisha ya watu wengine ili dunia iwe mahali salama pakuishi kulingana na sheria za kimataifa katika kutetea uhai wa binadamu.
Siku hii ya ubinadamu duniani ilianzishwa kwaajili ya kuunga mkono na kuendeleza juhudi za kusaidia binadamu waliopatwa na majanga au shida mbalimbali duniani kote.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/30fULjB
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







