Familia ya Bwana Fredrick Mlaki inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa bwana Fredrick Andrea Mlaki kilichotokea mnamo tarehe 16/08/2019 katika hospitali ya Muhimbili DSM
Mzee Frederick Andrea Mlaki ni mume wa Bi. Elipina Mlaki, ameacha Mke, watoto na wajukuu.
Habari ziwafikie ukoo wote wa Mlaki walioko Mwika, Ugweno, Majengo na Monduli, Ukoo wote wa Kisamo wa Usangi, ukoo wote wa Shao wa Mwika na ndugu wote na jamaa wa marehemu.
Ibada ya kuaga itafanyika siku ya Jumanne 20/08/2019 katika kabisa la Azania Front saa saba mchana na baada ya hapo kusafiri kwaajili ya mazishi Mwika, Moshi.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/30h8JSv
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







