Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mtendaji Mkuu wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Bw Rustamali Merani Shivji wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Hoteli hiyo mara baada ufunguzi rasmi uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Bw Rustamali Merani Shivji (wa pili kulia) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Hoteli hiyo mara baada ufunguzi rasmi uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi,(kushoto) Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume na Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (wa pili kushoto).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu]24/08/2019.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu]24/08/2019.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Ze5eQ3
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







