Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MSIMU wa tatu wa Mashindano ya Sprite Bball Kings hatua ya mtoano imefanyika leo kwa timu 43 kushuka dimbani kutafuta tu 15 zitakazocheza kwenye hatua ya 16 bora.
Mechi hizo zilizoanza majira ya saa 2 asubuhi kwenye Viwanja vya JMK Park zilikuwa na ushindani mkubwa sana huku timu ngeni zikionekana kujiandaa vizuri.
Msemaji wa mashindano hayo Goza Chuma amesema kwa mwaka huu ushindani umekuwa ni mkubwa sana, timu zimejiandaa kuja kusaka kitita Milioni 10 zitakazoshindaniwa kwa mshindi wa kwanza.
Goza amesema, msimu huu wa tatu wa Sprite Bball Kings umeleta fursa kwa vijana kwani mchezo wa kikapu ni ajira tofauti na mawazo ya zamani ya watu kuwa unachezwa na vijana waliosoma au mabishoo.
“Mwaka huu watu wanaweza kuona idadi ya timu zimepungua ila sio kama mashindano yamekosa ubora hapana ila msimu huu watu wamejipanga sana na unapoona hapa hakuna timu iliyopota kwa walk over kwani zote zimefika tofauti na misimu iliyopota,” amesema Goza.“Sheria za mwaka huu zimebadilika, misimu miwili tuliweka sheria ya kuwa na wachezaji watatu wa ligi kuu ila kwa msimu huu ni wachezaji sita kwahiyo nyie wenyewe mtaona ni ushindani wa aina gani utakaokuwepo kwenye msimu wa mwaka huu,”
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/30z4bqx
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







