Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala leo amezindua rasmi Kongamano ya Mtwara ya Kijani lililofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Mkoa wa Mtwara.
Akizungumza na Maelfu ya Wananchi waliohudhuria Ufunguzi huo Katibu Mkuu Mwl Mwangwala amewataka Kuendelea kukiamini Chama cha Mapinduzi kwani ndio Chama pekee kisichokuwa na Misingi ya Kiubaguzi wa Matabaka mbalimbali.
Pia, Katibu Mkuu Ndugu Mwl Raymond Mwangwala akizungumza katika Mkutano huo ametuma salama kwa Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Upinzani kujiandaa kuachia ngazi kwani hakuna mwananchi wa sasa atakae acha kuipigia kura CCM kutokana na kasi ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi inavyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Aidha, Ndg Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa amewapongeza Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Mkoa wa Mtwara kwa Kazi kubwa wanayoifanya ya kuendelea kuwa karibu na kuwasaidia Vijana wote wa Mkoa huo kuendelea kutatua Changamoto zao kwa kutimiza moja ya lengo la kuundwa kwa jumuiya hiyo.
Akizungumza awali akimkaribisha mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara Ndugu Yusuph Nanila amemuhakikishia mgeni rasmi hali ya Kisiasa ya Chama na Serikali Mkoa wa Mtwara ipo vizuri na kutumia fursa hiyo kuwapongeza Watumishi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mhe Gelasius Byakanwa kwa kuendelea kuwatumikia Wananchi kwa Haki na Usawa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akiwasili katika uwanja wa Uwanja wa Nangwanda Mkoa wa Mtwara kuzindua rasmi Kongamano la Mtwara ya Kijani .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akizungumza mbele ya Wananchi waliohudhuria Ufunguzi huo
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZF363s
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









