Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine (katikati) akifungua kikao kazi cha Wakurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT). Kikao hicho kimejadili uratibu wa masuala ya Muungano ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa taarifa kutoka katika kila Wizara na kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano katika Jengo la Bima ya Afya Jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Muungano, Sifuni Msangi na Lupi Mwaikambo Mkurugeni Msaidizi Idara ya Muungano.
Mariam Silim Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Ezekiel Chundu Mchumi, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) wakifuatilia maelezo ya Naibu Katibu Mkuu (hayupo pichani) katika Kikao cha Wakurugenzi wa Sera na Mipango, Tanzania Bara. Kikao hicho kimefanyika hii leo Jijini Dodoma.
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika hii leo Jijini Dodoma.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2LPRhOI
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









