RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Tamasha utamaduni na Sanaa JAMAFEST la nchi za Afika Mashariki jijini Dar es Salaam.
Tamasha lenye lengo la kuunganisha nchi za Afrika Mashariki kupitia sanaa na utamaduni litazinduliwa jijini Dar es Salaam Septemba 22,2019 katika uwanja wa Taifa jijini.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hasan Abbas amesema wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa semina ya kuwajengea Uwezo kwajili ya kulipoti na kutoa taarifa mbalimali za Tamasha la Jamafest leo jijini Dar es Salaam.
Amesema kuwa tamasha hilo la Utamaduni na sanaa la Jumuiaya ya Afrika Mashariki litatanguliwa na matembezi ya
litazinduliwa Jumapili na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli kuanzia saa nane katika viwanja vya Taifa jijini Dar es Salaam.
Amasema tamasha hili litakalohusisha nchi za jumuiya ya Afrika mashariki litafanya maonesho ya utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki ambapo kila nchi itaonesha sanaa na tamaduni zao.
Nae Mwenyekiti wa maandalizi wa tamasha la Jamafest, Joyce Fisoo amasema kuwa tamasha hilo litahudhuliwa na washiriki kutoka Kenya 612, Uganda 201, Burundi 179, Rwanda 125 na zaidi ya watanzania elfu moja kuhudhulia tamasha hilo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2mvf7Xa
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





