Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa tawi la Benki ya TPB Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara ambalo Tayari limetoa mikopo ya zaidi ya shilingi billion Nne kwa wakulima wa zao la Korosho Wilayani hapo.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akiongozana na Mtendaji mkuu wa benki ya TPB Sabasaba Moshingi mara baada ya kutembelea na kukagua huduma mbalimbali zinazopatikana katika tawi jipya la benki hiyo iliyopo Wilaya ya Masasi,Mtwara.
Kikundi cha Ngoma Mchema Group kutoka wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara kikitumbuiza ngoma za kitamaduni za kabila la Wamakua katika uzinduzi wa Tawi la Benki ya TPB Masasi Mkoani Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa mtwara Gelasius Byakanwa akiwa katika Picha ya Pamoja na Wafanyakazi wa benki ya TPB mara baada ya kufanya ufunguzi wa tawi la benki hilo wilya ya Masasi Mkoani Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akiwa amebeba mtoto wa mmoja wa wananchi walioshiriki katika uzinduzi wa tawi la Benki ya TPB lililopo Masasi Mkoa wa Mtwara,kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi.
Saidi Mbito kulia akiwa na Sulpis Likanda wakiwa na zawadi ya Ngao waliopewa na Benki ya TPB kama moja ya shukurani kwa kufanya kazi muda mrefu na benki hiyo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2mobQtf
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33













