Mhandisi Steven Manda akiwatembeza sehemu mbalimbali Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi walipotembelea mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika Mto Rufiji mkoani Pwani baada ya kufanya ziara ya siku moja katika mradi huo.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp Mohamed H. Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi baada ya kutembelea mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji mkoani Pwani.
Wa kwanza kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Mohamed H. Hassan, akiongoza Maofisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi kutembelea mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika mto rufiji.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2oevo3w
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









