Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura ya Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) upande wa Habari Daniel Kasokola (katikati ya wanafunzi) akieleza jambo kuhusu watu wenye ulemavu wakati Gari la Matangazo la NEC lilipotembelea Shule ya Sekondari ya Rugambwa iliyopo Manispaa ya Bukoba kutoa Elimu ya Mpiga Kura kuelekea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Kagera, Kigoma na Wilaya ya Chato unaoanza Oktoba 2 hadi Oktoba 8, 2019.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura ya Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) upande wa Habari Daniel Kasokola (katikati) akifafanua nafasi ya watu wenye ulemavu katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura akiwa na baadhi ya wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma Shule ya Sekondari ya Rugambwa ya Manispaa ya Bukoba.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura ya Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) upande wa Habari Daniel Kasokola (kulia mwenye fulana nyeusi) akifafanua jambo mbele ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Rugambwa ya Manispaa ya Bukoba.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Yasinta Mlula akiwaeleza jambo wakazi wa Manispaa ya Bukoba wakati Gari la Matangazo la Tume lilipokuwa likitoa Elimu ya Mpiga Kura kwenye Stendi ya Mabasi ya Mjini Bukoba kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mkazi wa Manispaa ya Bukoba mwenye ulemavu akiwa na Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ibrahim Dedu wakati Gari la Matangazo la Tume (halipo pichani) lilipokuwa likitoa Elimu ya Mpiga Kura kwenye Stendi ya Mabasi ya Mjini Bukoba kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Christina Njovu akimweleza jambo mkazi wa Manispaa ya Bukoba mwenye ulemavu wakati Gari la Matangazo la Tume lilipokuwa likitoa Elimu ya Mpiga Kura kwenye Stendi ya Mabasi ya Mjini Bukoba kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Gari la Matangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi likipita karibu na Stendi ya Mabasi ya Mjini Bukoba kutoa Elimu ya Mpiga Kura ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Kagera, Kigoma na Wilaya ya Chato unaoanza Oktoba 2 hadi Oktoba 8, 2019.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura ya Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) upande wa Habari Daniel Kasokola akizungumza na wakazi wa Manispaa ya Bukoba wakati Gari la Matangazo la Tume lilipoweka kambi kwenye eneo la wazi katika Manispaa ya Bukoba kutoa Elimu ya Mpiga Kura.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Monica Wabukundi, akiwasiliza vijana kwenye Stendi ya mabasi ya Mjini Bukoba wakati Gari la Matangazo la Tume lilipokuwa likitoa Elimu ya Mpiga Kura kwenye stendi hiyo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Moshi Makuka (mwenye fulana nyeupe karibu na Gari la Matangazo) akitoa Elimu ya Mpiga Kura kwenye moja ya mitaa ya Mjini Bukoba akiwa na Gari la Matangazo la Tume kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenye kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Kagera, Kigoma na Wilaya ya Chato unaoanza Oktoba 2 hadi Oktoba 8, 2019.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2m3e4xK
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33
















