Mkufunzi na Mkuu wa Idara ya Ufundi ya JKA/WF-‐Tanzania kitaifa, pia Mwenyekiti wa Tanzania Shotokan-‐Ryu Karate-‐Do Association (TASHOKA) Abdallah Kambi Sensei amefariki dunia.
Kambi Sensei aliyeingia madarakani tarehe 27 Julai 2019, amefikwa na umautio leo alfajiri katika hospital kuu ya Taifa Muhimbili, alipokua amelazwa kufuatia kusumbuliwa na kifua na tumbo, tangu mwezi August.
Mwenyekiti, JKA/WF-‐Tanzania Jerome G. Mhagama, amethibitisha kutokea kwa msiba huo, na ameeleza taratibu za maziko ya Kambi Sensei aambaye alijiunga na JKA/WF-‐Tanzania mwaka 2009 na kuwa mwanafamilia hai wa JKA mpaka umauti unamkuta.
Katika hatua nyingine Mhagama ameeleza taarifa nyingine za msiba wa mdau huyo wa mchezo wa Karate, huku wakitarajia majibu wa kikao cha familia ya marehemu.
Ndani ya JKA Kambi Sensei alikuwa mmoja wa Wakufunzi tegemezi mwenye Black Belt 4th Dan-‐JKA, pia alikuwa na JKA International Licence yenye viwango vya Instructor class C, Judge class D & Examiner class D.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Alale mahali pema peponi.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2M7wess
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







