MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi akijiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. Kulia ni Afisa Mwandikishaji Sospeter Mseya.(13. 10.2019)
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi akiwa kwenye mstari kwa ajili ya kuingia kwenye kituo cha kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. .(13. 10.2019)
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi akisalimiana na Waasisi wa Chama cha TANU muda mfupi baada ya kukamilisha zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. .(13. 10.2019
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya kukamilisha zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. Kushoto ni Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Maswa, Constantine Sement Shillingi (13. 10.2019)
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi bora watakaoweza kusimamia mipango ya Serikali kwenye vitongoji na vijiji muda mfupi baada ya kukamilisha zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Mwamhuge, Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu (13. 10.2019)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ON5Rtp
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33











