Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Rehema Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya maadhimisho ya siku ya chakula duniani ambayo kitaifa yanafanyika mkoani hapa.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt.Bedan Masuruli akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Rehema Nchimbi katika banda la wizara hiyo kwenye maonesho hayo.
Afisa Mifugo Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mary Yongolo (kushoto) akimpa zawadi ya maziwa Dkt.Rehema Nchimbi baada ya kutembelea banda la Kampuni ya Tanga Fresh. Kulia ni Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Mifugo, Dkt. Bedan Masuruli.
Mtafiti wa Zao la Maharage kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Arusha Edith Kadege akimuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt.Rehema Nchimbi kuhusu maharage lishe yaliyofanyiwa utafiti na kituo hicho.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Taasisi ya Promised Eden Environmental care (PEEC) Ascarlyon Lufurano (kushoto) akimuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt.Rehema Nchimbi kuhusu kilimo cha mapapai yanayo zalishwa na Taasisi hiyo.
Afisa Kilimo Mkuu Wizara ya Kilimo Dodoma, Deograsias Ruzangi, akitoa maelezo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Singida kuhusu machapisho mbalimbali yanayohusu kilimo na uvuvi.
Wanakwaya ya Kanisa la AICT mkoani Singida wakitoa burudani.
Hafla ya ufunguzi maonesho hayo ikiendelea.
Hafla ya ufunguzi maonesho hayo ikiendelea.
Msanii wa muziki wa Sengeli Mzee wa Bwax akipagawisha katika hafla hiyo.
Meya wa Manispaa ya Singida, Alhaji Chima Mbuwa akizungumza katika mkutano huo.
Taswira ya mkutano huo.
Wasanii wa kikundi cha Mbaramwezi wakitoa burudani.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Honest Kessy akizungumza.
Wasanii kutoka Singida Mjini wakitumbuiza.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Hughes Agricultural (T) Ltd, Lawrence Kisoka akizungumzia
ubora wa matrekta aina ya New Holland Agriculture yanayosambazwa na kampuni hiyo.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ppko3R
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33

























