Mama Shujaa wa chakula kutoka Shirika la Oxfam, Stella Masulya akimuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi namna ya anavyohofadhi samaki wake kwa kutumia moshi na anavyoandaa dagaa kwa njia ya asili katika maonesho ya kuadhimisha siku ya chakula duniani yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Singida.
Dkt.Nchimbi akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la Oxfam kwenye maonesho hayo.
Mama Shujaa wa chakula kutoka Arusha, Elinuru Moses akimuelezea Dkt. Nchimbi umuhimu wa kutumia vyakula asilia na namna ya kuvihifadhi.
Wakina mama Shujaa wa chakula kutoka mikoa mbalimbali walioshiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.
Dkt.Nchimbi akipokea zawadi ya viazi lishe vinavyozalishwa na wakulima wadogo wadogo kutoka Mbongwe.
Mama Shujaa wa chakula kutoka mkoani Mtwara akimuuzia vikapu Dkt. Nchimbi alivyotengeneza kama mjasiriamali mdogo ili kukuza kipato cha familia yake.
Mama Shujaa wa chakula, Elinuru Moses akimuelekeza Dkt. Nchimbi umuhimu wa chakula asilia katika kuboresha afya.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2qawEWl
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33













