TAASISI ya Wajasiriamali ya Kipinet imekutana na wajasiriamali 400 kwa ajili kuboresha biashara ili ziweze kuleta tija ya kujikwamua na umasikini .
Akizungumza na wajasiriamali hao Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Charles Sabiniani amesema kuwa fursa za biashara no nyingi sana hivyo kunahitaji kujitoa katika kufanya biashara.
Amesema kuwa jamii ina mahitaji mengi ambayo kwa wajasiriamali in fursa katika kubuni vitu ambavyo vitasaidia jamii hiyo kuondokana na ukosefu wa bidhaa.
Sabiniani amesema kuwa Kipinet iko katika kushika bega wasariamali katika kutoa mafunzo ya biashara mbalimbali zikiwemo za ubunifu bidhaa mbalimbali katika kutafuta masoko.
Aidha amesema kuwa wanawake ndio walezi wa familia hivyo ni lazima mjitume katika kupiga vita umasikini ndani ya familia.
“Kipinet tutahakikisha biashara zinasimama na kuleta mafanikio kutoka wajasiriamali wadogo mpaka wakubwa na taifa kuweza kupata maendeleo kutokana na kodi” amesema Sabiniani.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kipinet Charles Sabiniani akizungumza na wajasiriamali kwa ajili ya maonesho ya Biashara yatakayofanyika Novemba 7 hadi 10 katika Hoteli ya Travertine Magomeni Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajasiriamali wakiwa katika mkutano kuhusiana maandalizi ya maonesho ya biashara.
Wajasirimali wa Taasisi ya Kipinet wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Charles sabiniani kuhusiana na elimu ya vifungashio kuelekea maonyesho ya wajasiriamali yatayofanyika Novemba 7 hadi 10 katika vya Hotel ya Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Bdjv19
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









