Taasisi ya Chuo Kikuu cha Nelson Mandela(NM-AIST) imenufaika na msaada wa mashine yenye uwezo wa kupima ubora wa Chujio za magari zinazotengenezwa hapa nchini na nje ya nchi ili kutunza afya za watu
Mradi huo unatekelezwa na Kituo cha Umahiri cha Wise-Future ili kutoa fursa kwa wanafunzi kunufaika na ufadhili wa elimu ya juu katika eneo la utaalamu maji na nishati.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Profesa Anthony Mshandeti akizungumza wakati wa kuzindua mashine hiyo yenye thamani ya dola laki moja iliyotolewa na shirika la Aerosol Research and Technology Plus(ART+) ya Korea amesema itatoa mchango muhimu katika kutunza mazingira.
“Wanafunzi wetu wanaofanya tafiti mbalimbali na wenye ndoto za baadaye kufungua viwanda vya kuzalisha chujio za magari na mitambo watanufaika na uwepo wa mashine hii ambayo itakua ikitoa majibu ya ubora wa chujio zao ndani ya muda mfupi,”amesema Mshandeti
Meneja Biashara wa kimataifa wa ART+,Insoo Chang amesema kwa mujibu wa takwimu za shirika la Afya duniani(WHO) za mwaka 2018 watu wapatao milioni moja kila mwaka barani Afrika wanapoteza maisha kutokana na uchafuzi wa hewa.
“Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekua ni mambo yanayozungumzwa dunia nzima katika miaka ya hivi karibuni pia yanaathari au kutoa mchango katika hali ya hewa ya hapa Tanzania kwani mnaweza kushudia nyakati za mvua hazinyeshi au zinanyesha wakati wa kiangazi ni mambo ambayo tunapaswa kuyapa umakini katika kuyashughulikia,”amesema Chang
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/32HgmTl
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







