Baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kubatilisha vifungu vya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inayoruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18. jana October 24, 2019 Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) uliofanyika Jijini Dodoma amesihi Watanzania kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu athari za ndoa na mimba za utotoni.
“Watu wote tungependa ile Hukumu ya ilivyotoka tu, yaani watu miaka 18 ndio waanze kufikiri ndoa. Sote tunafahamu hata miaka 18 sio kwamba ndio yupo tayari kwa ajili ya ndoa lakini niwaombe sisi tuendelee kuweka mkazo kwenye mafunzo kwa vijana wetu wenye umri mdogo kwamba hata ile miaka 18 yeye haimtoshi kuanza kubeba familia ili pamoja na haya mengine tusianze sasa tumemaliza la ndoa za utotoni tunajikuta tunaendeleza mimba za utotoni”
“Kwa maana hivi ni vitu viwili tofauti japokuwa kuna mahali huwa vinakutana. Ndoa za utotoni zinapelekea mimba za utotoni lakini sio mimba zote za utotoni zinasababishwa na ndoa za utotoni”-Dkt. Tulia Ackson
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2WgtRqS
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







