Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu (kushoto) akibadilishama mawazo na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Busalama(kulia) leo wakati wa ufunguzi wa warsha ya wadau wa ukanda wa miombo wa Mradi wa Usimamizi shirikishi wa Misitu ya Miombo ya nyanda kame Tanzania
Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu akifungua leo warsha ya wadau wa ukanda wa miombo wa Mradi wa Usimamizi shirikishi wa Misitu ya Miombo ya nyanda kame Tanzania
Mwakilishi Mkazi wa Shirikika la Umoja wa Mataifa la Kilimo na Chakula Duniani (FAO) Jonathan Sawaya akitoa maelezo mafupi kuhusu hali ya uharibifu wa mistu leo wakati wa ufunguzi wa warsha ya wadau wa ukanda wa miombo wa Mradi wa Usimamizi shirikishi wa Misitu ya Miombo ya nyanda kame Tanzania. Picha na Tiganya Vincent
Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau wa ukanda wa miombo wa Mradi wa Usimamizi shirikishi wa Misitu ya Miombo ya nyanda kame Tanzania wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ClDR95
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










