Yanga Yavuruga Sikukuu ya Rayon Sports, Yatwaa Kombe Kigali
Kigali, Rwanda – Wananchi Young Africans SC wameharibu sherehe ya Rayon Sports Day baada ya kuichapa wenyeji wao Rayon Sports mabao 3-1 katika uwanja wa Amahoro na kutwaa kombe la Rayon Day Cup 2025. Rayon walipata goli la mapema dakika ya kwanza kufuatia Andambwile kujifunga na kuwapa mashabiki wa nyumbani matumaini ya ushindi. Hata hivyo, … Continue reading Yanga Yavuruga Sikukuu ya Rayon Sports, Yatwaa Kombe Kigali
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed