Waziri Mkuu Mhe.Mwigulu Nchemba azindua Sera ya Taifa ya Usimamizi wa mnyororo wa Ugavi 2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akibofya kitufe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025, kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. Wengine katika picha … Continue reading Waziri Mkuu Mhe.Mwigulu Nchemba azindua Sera ya Taifa ya Usimamizi wa mnyororo wa Ugavi 2026