Waziri Hamad Masauni asema Biashara ya Kaboni ni Nyenzo Muhimu Kukabiliana Na Mabadiliko Ya Tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mha. Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Juni 30, 2025 mara baada ya kupokea Taarifa ya Tathmini ya Mwenendo wa Biashara ya Kaboni kutoka kwa Kamati ya Biashara ya kaboni. PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS … Continue reading Waziri Hamad Masauni asema Biashara ya Kaboni ni Nyenzo Muhimu Kukabiliana Na Mabadiliko Ya Tabianchi