Hamisi Taletale (Babu Tale), ameongoza kwenye kura za maoni katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba aliyepata kura 242