Mwimbaji @harmonize_tz ni kama amemkingia kifua @diamondplatnumz kutokana na shutma zilizozuka za ku-copy baadhi ya nyimbo za wasanii wa Nigeria na vita ya kimuziki inayoendelea kwa sasa kwenye game